life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Tunashukuru sana mkuu....
Wanategemea kuzika siku ya jumanne, taarifa kamili zitapatikana kesho!
Habari zenu wadau wa Jamii Forums..
Nasikitika kuwataarifu kuwa member mwenzetu dada ram amefiwa na binamu yake.
Msima upo Butimba jirani na Magereza (Mwanza). Naomba tuungane
kumfariji dada ram na wale walioko hapa jijini Mwanza tunaweza kwenda kumpa pole....
"Bwana alitoa na Bwana ametwaa
jina lake lihimidiwe"
Habari ziwafikie WanaJF wote walioko Jijini Mwanza na nje ya Mwanza, wana Rock City Wing wote ThinkPad, Home First, TrueLove, Elizabeth Dominic, Rock City, Mzee Gedeli......
Poleni sana
Rock City Wings
Poleni sana wana mwanza.
Jamani wana JF nashukuruni wote kwa rambi rambi zenu, tumempoteza mdogo wetu, amezimika kama mshumaa. Tulimpenda sana lakini Mungu kampenda zaidi. nawashukuru sana na tuko pamoja. Salamu hizi ziwafikie pia wanafamilia ya SAUT, alikuwa ni mwanafunzi pale wa 3rd year