Tanzia: Professor Wambali hatunae tena duniani

Tanzia: Professor Wambali hatunae tena duniani

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,973
Professor Nguli wa sheria wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam A.K.Wambali,amefariki dunia muda mfupi uliopita,kwenye hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa.Katika uhai wake,atakumbukwa kama Mwalimu wa sheria aliyetukuka na mpigania haki za binadamu.Mungu amlaze mahali pema peponi.Amen
 
RIP Prof utakumbukwa kwa mazuri yako. Poleni wanajumuiya ya chuo kikuu na familia kipindi hiki cha majonzi
 
Its so hard to believe this. Prof was the best. I enjoyed his teaching at the faculty. He was fair. No malice. Good in teaching. He is the best
 
R.I.P. Professor and condolences to his family.
 
pole sana kwa wafiwa.
R.I.P Profesa.
 
Nimepokea ujumbe kuwa Mhadhiri Mwandamizi wa UDSM,Shule Kuu ya Sheria amefariki dunia. Ni Prof. Michael Beatus Kajela Wambali. Amefariki akiwa Muhimbili akikolazwa kwa siku mbili. Bwana ametoa,Bwana ametwaa!
 
Am so sad jamani!!why good people ndo wanaondoka!!hakuna atakayetokea facult of law kuwa fair kama Wambali!!I will miss you prof!may your soul rest in peace
 
mungu ailaze roho ya marehemu mahali anapostahili. pole sana wafiwa wa karibu na taifa kwa ujumla kwa kupoteza mtu muhimu
 
Sisi sote njia ya kurudi kwa Muumba wetu ni moja, Kifo!! R.I.P uliyetutangulia.
 
He was a fair man....He will surely be missed by many!
 
Wana-JF, MMU,

*Prof. Michael Kajela Beatus Wambali, Shule ya Sheria UDSM, ameaga Dunia hii leo akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili

*Maheremu Prof. Wambali atakumbukwa sana kwa umahiri wake katika masomo ya Katiba, Sheria ya Utawala wa Umma ,na procedural laws kwa ujumla hapa Shule ya Sheria, UDSM

source: Maxmilian Tumaini, Mwenyekiti wa Wanafunzi, UDSM School of Law
 
Back
Top Bottom