Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,663
- 59,000
PROFESA MAVURA AFARIKI DUNIA NDANI YA NDEGE
Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Jomo Kenyatta cha Arusha (JKUAT), Profesa Ward Mavura amefariki dunia leo wakati akiwa kwenye ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha.
Chanzo kimoja kilicho karibu na familia hiyo kimesema kuwa Profesa Mavura alikuwa anatarajia kwenda India kwa ajili ya matibabu.