TANZIA TANZIA: Profesa Ward Mavura afariki dunia ndani ya ndege

rip prof mavura and allah (t.w) awapeni subira katika kipindi hiki kigumu in shaa allah.
 
RIP prof.
Lakini, JKUAT si kile chuo cha Kenya? Kampala Univerisity nayo ni ya Uganda. Kuna vyuo vya Tanzania vilivyoexpand huko Kenya na Uganda?
 
Hivi uprofesa mtu unasomea?je ukifika elimu gan ndo unakuwa profesa?naomba kujua
ukibobea katika fani fulani ndio unaitwa Profesa na baada ya wenye fani kupitia shughuli zako km uganga, wizi, ujambazi, ukicheche
  • Maji marefu Mbunge wa Korogwe
RIP Prof. Mavura
 
Sad news really! MaProfessor Wa Kipare wanakufa ghafla jamani. Juzi Professor Mkilaha Leo Mavura! Poleni sana wafiwa. Hakika kifo hakijali uko wapi, siku na SAA ikifika unakufa.


RIP Prof.....Inshu ya Mkilaha tofauti na hii aiseee
 
Mtoa roho ni zaidi ya fundi duh kamchomoa mtu angani aiseeee.
Pumzika kwa amani Prof.
 
View attachment 367313 PROFESA MAVURA AFARIKI DUNIA NDANI YA NDEGE

Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Jomo Kenyatta cha Arusha (JKUAT), Profesa Ward Mavura amefariki dunia leo wakati akiwa kwenye ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha.

Chanzo kimoja kilicho karibu na familia hiyo kimesema kuwa Profesa Mavura alikuwa anatarajia kwenda India kwa ajili ya matibabu.
Atakuwa ndugu yangu
 
Poleni sana wafiwa wote Mungu awape moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wenu
 
Back
Top Bottom