TANZIA TANZIA: Profesa Ward Mavura afariki dunia ndani ya ndege

Prof. Ward J. Mavura, PhD
JKUAT-ARUSHA Centre
P.O. Box 16857, Arusha, TANZANIA
Tel/fax +255 27 2543577
Cell +255 757-310733
Email:
wmavura@gmail.com
, wmavura@jkuat.ac.ke
Also
Department of Chemistry
Jomo Kenyatta Univ of Agr &Technology
P.O. BOX 62,000-00200
Nairobi, KENYA
Phone: +254 722-472204,

(a) EDUCATION
University of Dar es Salaam, Tanzania Chemistry/ Education, BSc, 1982
University of Massachusetts, Amherst, MA, US Science Education,MEd,1987
Hampton University,Hampton,VA,USA AnalyticalChemistry, MSc, 1990
Virginia Tech, Blacksburg, VA, USA Analytical Chemistry, PhD, 1994

(b) EMPLOYMENT
July 2010-todate Founding Director, JKUAT-ARUSHA Centre, Tanzania
May 2010 Professor, Dept of Chemistry, JKUAT, Kenya
2005 – May 2010 Associate Professor, Dept. of Chemistry, Egerton Univ, Kenya
1999-2005 Senior Lecturer, Dept of Chemistry, Egerton University, Kenya
1996-1996 Lecturer, Dept of Chemistry, Egerton University, Kenya
1994-1996 Assistant Professor, Dept. of Chem, Slippery-Rock Univ. PA, USA

General Research Area
Application of Analytical Chemistry techniques in solving environmental pollution problems, including water and air quality problems.

Current research activities:
- Defluoridation of drinking water using local material to solve fluorosis problems.
- Removal of turbidity of domestic, surface water using local plants in ASALs.
- Determination of pesticide residues and heavy/trace metals in water sources.
- Characterization of dispersion of heavy metals through dust, a case study of Lake Nakuru basin.
- Physical-Chemical characterization and purity of indigenous/local salts consumed around Lake Victoria basin, East Africa, funded by VICRES.

(c) SELECTED PUBLICATIONS (last 10 years)
1) T.M. Mutia, M.Z. Virani, W.N. Moturi, B. Muyela,W.J. Mavura, J.O. Lalah. Copper,
Lead, and Cadmium concentrations in surface water,sediments and fish C.Carpio from Lake Naivasha: effect of recent anthropogenic activities Env. Scientist-Environment and Safety.Inpress (June 2011)
Read more:
Source: www.jkuat.ac.ke

N.B
RIP Professor Ward J. Mavura
 
Alikuwa bado sana kiumri ukilinganisha na maprof. ninaowafahamu.

Tujifunze kupiga mazoezi, kula matunda na mbogamboga.

Pressure na kisukali vitatumaliza.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE-AMINA
Umesahau kifua kwa wasanii
 
View attachment 367313 PROFESA MAVURA AFARIKI DUNIA NDANI YA NDEGE

Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Jomo Kenyatta cha Arusha (JKUAT), Profesa Ward Mavura amefariki dunia leo wakati akiwa kwenye ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha.

Chanzo kimoja kilicho karibu na familia hiyo kimesema kuwa Profesa Mavura alikuwa anatarajia kwenda India kwa ajili ya matibabu.
Nilimfahamu. Mtu mzuri sana, mtulivu na mwenye hekima. Tofauti na wengi waliosoma chemistry kama yeye, huyu alikuwa msemaji na english yake ilikuwa nzuri sana. Nimefundisha hapo JKUAT Arusha Centre kwa miaka 3 na nimefurahia kila dakika niliyotumia kuongea na Prof Mavura. Mungu amlipe mema.
 
Profesa

Profesa ni mwalimu wa Chuo Kikuu,ukiweza kupata PhD hapo utaendelea na tafiti mbali mbali mpaka Dunia itakubali kwa kuishawishi kwa tafiti zako na hapo ndipo maprofesa wezio watakuthibitisha lakini bila hivyo ukiwa na PhD bado utakuwa mwanafunzi tu maana utaitaji Profesa akusimamie kwenye tafiti zako ili nawe uweze kuwa Profesa.


Acha kudanganya watu, prof ni mwalimu wa chuo kikuu:rolleyes: pia mtu unaweza kuwa prof hata kabla ya kupata hata degree moja!
 
Back
Top Bottom