walikuwa wanabishana kuwa yeye hawez kuogelea jamaa akabet kuwa anaweza ndo akajitosa, ni ajabu hatunae tena!
walikuwa wanabishana kuwa yeye hawez kuogelea jamaa akabet kuwa anaweza ndo akajitosa, ni ajabu hatunae tena!
Ts a pitty!Apumzike kwa Amani.Ila watu tujaribu kuwa positive.Huyo kafa kizembe
walikuwa wanabishana kuwa yeye hawez kuogelea jamaa akabet kuwa anaweza ndo akajitosa, ni ajabu hatunae tena!
Simple like that! Huu mkasa hauna tofauti na ule wa Mbagara. Nadhani inabidi tujifunze vitu vya kubishaniana.walikuwa wanabishana kuwa yeye hawez kuogelea jamaa akabet kuwa anaweza ndo akajitosa, ni ajabu hatunae tena!
hivi hii ni kazi ya mungu jamani mtu kajirusha mwenyewe kwenye Panton?Pole sana mkuu pamoja na wote walioguswa na msiba huu. Jipe moyo mkuu, tunawaombea kwa Mungu Awape faraja yake katika kipindi hiki kigumu.
Kazi ya Mungu haina makosa.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe!