Brodre
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,587
- 1,855
- Thread starter
- #61
mmh hapa kama kuna kauongo flani hivi.......yani mi nakaa hapa around ferry halafu cna hii habari? Halafu eti mweli ulikua umeonekana saa tisa usiku.is it posible? Nan alikua anatafuta huo mwili.
weee unakaa magogoni nini uliza wanaokaa kigambon watakwambia. aliruka juzi ili aogelee panton.likamfunika leo asubuh wavuvi.wamemuona wakamsogeza hadi feri tukaenda kuchukua mwili wake tumezika leo saa sita sasa uongo gani unaosemea wewe.