Tanzia: Nimepata msiba

Tanzia: Nimepata msiba

Asante mpaka sasa hivi mwili hujaonekana
 
Asante mpaka sasa hivi mwili hujaonekana

Kwa maji ya chumvi na kipindi cha joto hivi kama hadi muda huu bado haujapatikana by kesho atakuwa ameharibika sana ukizingatia na mawimbi. At the same time ni lazima sharks wamtafune kidogo. Rest in Peace Bruda. Ila kifo cha kushangaza sana hicho!! Cha kutaka kuonesha ufundi kuwa unajua kuogelea? It can't get into my brain!!
 
Atakuwa amekutana na ajali tu !huyo kwa wote wanaojua kuogelea watatambua kuwa mtu yeyote ambaye uwezo wake ni mdogo kuogelea hatii miguu yake majini kwa aina yeyote ya bet!
 
Kwa maji ya chumvi na kipindi cha joto hivi kama hadi muda huu bado haujapatikana by kesho atakuwa ameharibika sana ukizingatia na mawimbi. At the same time ni lazima sharks wamtafune kidogo. Rest in Peace Bruda. Ila kifo cha kushangaza sana hicho!! Cha kutaka kuonesha ufundi kuwa unajua kuogelea? It can't get into my brain!!

Kapatikana leo mida ya saa 9 usiku tushamhifadhi kwenye nyumba yake ya milele tayari.
 
aisee poleni sana Mungu afanyike faraja kwenu wote mliopata na msiba huo jipeni moyo
 
walikuwa wanabishana kuwa yeye hawez kuogelea jamaa akabet kuwa anaweza ndo akajitosa, ni ajabu hatunae tena!

Mh mamicho is that for real? Mi nimeambiwa walikuwa wanashindana pepa na mwenzake so hilo pepa la juzi ndo lilikua gumu akaona atafeli so akajirusha!
 
Last edited by a moderator:
Mh mamicho is that for real? Mi nimeambiwa walikuwa wanashindana pepa na mwenzake so hilo pepa la juzi ndo lilikua gumu akaona atafeli so akajirusha!

cyo pepa, n kama nlivyosema aliongozana na rumate wakati wanarud kutoka kwny pepa!
 
Last edited by a moderator:
cyo pepa, n kama nlivyosema aliongozana na rumate wakati wanarud kutoka kwny pepa!

Sasa huyu roommate si ndo amekuja kupost apa kafiwa? Ama best friend hakuwa room mate??!
Mh nyie wanafunzi mna mambo.
Da nivea wadogo zako hao.
 
Last edited by a moderator:
mmh hapa kama kuna kauongo flani hivi.......yani mi nakaa hapa around ferry halafu cna hii habari? Halafu eti mweli ulikua umeonekana saa tisa usiku.is it posible? Nan alikua anatafuta huo mwili.
 
pole mkuu...ila wanafunzi wengi huwa wanajiua sababu ya mapenzi vipi huyo tofauti na wengine.!
 
Sasa huyu roommate si ndo amekuja kupost apa kafiwa? Ama best friend hakuwa room mate??!
Mh nyie wanafunzi mna mambo.
Da nivea wadogo zako hao.

aliyekuwepo nao ni rumate wangu ambaye n clasmate ya aliyepost, hope umeelewa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom