HEKIMA KWANZA
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 2,942
- 3,937
oohh... very sad! RIP mzee wetu.
Kumbe ni wa siku nyingi Leo ndo nimemfahamu. R.i.p mzee![]()
Bw. Peter Kisumo 1964-1965
![]()
RIP Peter Kisumo
Mkuu upo...Duh! Juzi ndiyo tumemuandalia keki yake ya birthday ya kutimiza miaka 80.
RIP Jembe la Mwalimu Nyerere
...jina lake lihimidiwe.Mwenyezi mungu nakuomba umpokee mja wako..apumzike kwa amani.Watanzania
Ni mstuko ndani ya Taifa hili baada ya Mungu kumchukua na kwenda kumhifadhi Mzee wetu Peter Kisumo. Mzee wetu amefariki dakika chache zilizopita.
Tutazidi kuwajuza taratibu zote na baadhi ya Taarifa kadri tutavyobarikiwa kuzipata.
Bwana Alitoa na Bwana Ametwa. Amen
si umwambie mwenzio kuwa ni miongoni mwa wadhamini wa chama kilichotufilisi kimkakati kwa kupinduapindua kila kilicho kizuri.