Tanzia: Mzee Peter Kisumo afariki Dunia

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
1,272
Reaction score
1,128
Watanzania,

Ni mstuko ndani ya Taifa hili baada ya Mungu kumchukua na kwenda kumhifadhi Mzee wetu Peter Kisumo. Mzee wetu amefariki dakika chache zilizopita.

Tutazidi kuwajuza taratibu zote na baadhi ya Taarifa kadri tutavyobarikiwa kuzipata.

Updates za Taratibu za Mazishi

Ratiba mazishi ya Mzee PK

JUMANNE- August 11
- Heshima za mwisho Dar
- Saa tatu asubuhi
- Karimjee
- safari ya kwenda Moshi

JUMATANO- August 12
- safari Moshi to Usangi

ALHAMISI - August 13
- Misa kanisa kuu Usangi
- Mazishi nyumbani kwa PK

Tunashukuru kwa maombi na faraja katika kipindi hiki kigumu kwa wanafamilia.


Bwana Alitoa na Bwana Ametwa.

Amen!

R.I.P Mzee peter Kisumo
(Huyu mzee alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya CCM )

Hapa amzee Peter Kisumo alikuwa hosp
na profesa Mwandosya huko India.


 
Tafadhali mleta mada tunaomba source ya taarifa yako, pia tuambie Mzee Kisumo kafia wapi na tatizo gani?
 
Mzee Peter Kisumo alikuwa mmoja wa wajumbe Wa Board ya udhamini ya CCM. Pia kwenye late 2000s alikuwa chairman wa directors Wa Vodacom
 
Kwa haraka haraka atakuwa mpare huyu. Kisumo ni wapare. Ila kama Ritz anamfaham huyu atakuwa alikuwa mtu mkubwa wa CCM huko upareni. Ko tuanzie hapo.
. Mpare
. CCM
. Mwanga upareni
. Mzee
 
RIP Mzee Kisumo. Kamwambie Mwalimu kuwa ule upinzani wa kweli hatimae mwaka huu umedhihiri. Punde tu atasikia RIP CCM
 
Kwa haraka haraka atakuwa mpare huyu. Kisumo ni wapare. Ila kama Ritz anamfaham huyu atakuwa alikuwa mtu mkubwa wa CCM huko upareni. Ko tuanzie hapo.
. Mpare
. CCM
. Mwanga upareni
. Mzee

CCM veteran mwenye kuheshimika sana since Nyerere time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…