Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Ni kati ya Waungwana waliosaidia kupatikana kwa Morogoro Muslim UniversityNi mmoja wa viongozi wenye msimamo sana. RIP KK
Ni kati ya Waungwana waliosaidia kupatikana kwa Morogoro Muslim UniversityNi mmoja wa viongozi wenye msimamo sana. RIP KK
Yeye ndo atakuwa Imam wa kuongoza sala !? ....babaako ameenda ?Ni matumaini yangu makubwa angalau katika Msiba huu Mheshimiwa Rais wa JMT Dkt. Magufuli atakuwepo / atahudhuria.
Baghdad alishafika bei ! ...ila Mwinyi alikuja kumfunga jela yeye na mabwana ardhi wa ilalaRIP Kitwana Kondo...Anatoglo ilisalimika kwa bahati kweli....
Sio akina Dewji wacha shombo we mgalatia !Inna lillahi wainna ilaihi rajiuun. Nakukumbuka mzee Kitwana Kondo uliyekuwa huna elimu kabisa ya kuwa meya wa Dar. Nakukumbuka hasa kwa ule ufisadi wako wa kuuza open spaces za jiji! Na hasa ile kali uliyotaka kuwauzia kina Dewji open space ya mnazi mmoja bila aibu!!!! Dewji alishaanza kuizungushia uzio mchana kweupe. Baada ya wananchi kuwashikia mabango halmashauri ya jiji hatimaye serikali ikaingilia kati na kufuta mkataba ule wa kifisadi.
Juhudi zako za kumtetea KK aliyesifika kwa kuwa Meya wa hovyo kabisa zinatia moyo!Sio akina Dewji wacha shombo we mgalatia !
Wewe una maana gani ! ...una kipi cha kujivunia we mgalatia katika nchi zaidi ya shombo !?...mmphtuuka !Juhudi zako za kumtetea KK aliyesifika kwa kuwa Meya wa hovyo kabisa zinatia moyo!
....na shombo zenyewe ndo hizi !Sredi inakata posti hii ni ya 144, like 4 ya mtoa mada!
Kweli KK wa Dar ana enziwa!
Go.....go mwana wa KK!....na shombo zenyewe ndo hizi !
mjiniGo.....go mwana wa KK!
Sijui una hamia lini Kimanzichana kutuachia jiji.
mjini utakaa wewe ! babako mpaka leo bado anakunya vichakaniGo.....go mwana wa KK!
Sijui una hamia lini Kimanzichana kutuachia jiji.
Dont go ballistic muzee, hiyo ndo hali halisi!mjini
mjini utakaa wewe ! babako mpaka leo bado anakunya vichakani
Mke wakeKwani sophia simba alikuwa ni nani yake huyo kitwana kondo
Hali halisi ni hiyo, kamjengee choo babako anae ishi na nguruwe.Dont go ballistic muzee, hiyo ndo hali halisi!
Wafa'amu!
Really?!Mke wake
Kijijini kwetu hilo mbona kawaida sana!Hali halisi ni hiyo, kamjengee choo babako anae ishi na nguruwe.
Washamba m'meingia mjini, tatizo hamjifunzi ustaarabu. Bado mkinya mnajifuta na makatasi na mnafuga nguruwe na ng'ombe majumbani mwenu kama huko vijijini mwenuKijijini kwetu hilo mbona kawaida sana!
Ila tukija Dsm, lazima muhame jiji, na kitimoto kinatufuata hapa hapa!
Yes, ndo thi thi, thi thi wa shamba!Washamba m'meingia mjini, tatizo hamjifunzi ustaarabu. Bado mkinya mnajifuta na makatasi na mnafuga nguruwe na ng'ombe majumbani mwenu kama huko vijijini mwenu
Kabla yake kulikuwa na nani ???!Yes, ndo thi thi, thi thi wa shamba!
Halafu cheki Magogoni yupo nani!
KK wa Dar!Kabla yake kulikuwa na nani ???!