TANZIA: Mzee Kitwana Kondo afariki dunia

TANZIA: Mzee Kitwana Kondo afariki dunia

Kuna kauli Mpoki alikuwa anapenda sana kuisema; 'Mungu sio Kitwana Kondo'.

Apumzike anapostahili.
 
RIP mzee KK nilishasahahu kama yupo wazee waliotesa awamu ya pili
 
Apumzike kwa amani mzee Kondo. Poleni wafiwa wote, na hasa watoto wake maana siku zote mzazi hachokwi na kuendelea kuishi naye wakati wa uzee wake ni neema.
 
Inna lillahi wainna ilayhi rajiun

Poleni wafiwa ALLAH awape ustahamilivu kipindi hiki cha majonzi
 
Hakika kila nafsi itaonja umaut : Inna lillah wainna ilayh rajiun
 
RIP KK...
Mi sikujua kama yuko hai..
sijamsikia kabisa...

KK aliwai kuwa mbunge wa Ilala (akaja nyang'anywa ushindi na Mama Weja chini ya mwanasheria msomi Lamwai)
Afu alikuwa Meya wa Jiji letu pendwa la Daresalama...

Nimekumbuka utotoni...zile kampeni za Jogoo wa shamba (mama Weja) hawiki mjini...
 
Jamani mimi naona sijambo jemakutangaza kua mtu amefariki kama huna uhakika
Acha woga wewe kipfo ni kawaida tu na kila MTU adagupfa tu sema inahuzunisha kutengana na wapendwa wetu lakn baada ya mda tunasahau
 
Back
Top Bottom