TANZIA: Mzee Kitwana Kondo afariki dunia

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,633
29,506
Wadau Kwema?

Kuna tetesi kua Mbunge wa zamani wa Kigamboni na Meya wa Jiji la Dar es salaam Bwana Kitwana Kondo (KK) amefariki Dunia Mchana huu; kuna mwenye taarifa zaidi ya hii kitu?

Alikuwa amelazwa hospitali ya Hindu Mandal

======
UPDATE:
======

Toka kwa Tunkamanin,

Inna lillahi wainna ilaihi rajiuun.

Mzee Kitwana Kondo, KK amefariki dunia jioni hii katika Hospitali ya Hindu Mandal. Atazikwa kesho 25/5/2017 In Shaa Allah

Wakati wa uhai wake, Kitwana Kondo aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kigamboni na Meya wa Jiji la Dar es Salaam.


Ni hivi karibuni alitembelewa na Ndg. Edward Lowassa > Mzee Edward Lowassa amtembelea Mzee Kitwana Kondo hospitali ya Hindu Mandal

Aidha, unaweza kusoma pia > Hotuba ya Al Hajj Kitwana Kondo, Mbunge wa Kigamboni mwaka 1999 Bungeni Dodoma
 
R I P Mzee Kondo, tunakukumbuka kwa mengi hasa hili la wanafunzi kumuita Mzee wa wakati huo "shemeji"
 
mtoa mada umeleta mada kama wote 2namfaham mzee kitwana kondo anyway pumzka kwa aman mzee kitwana kondo
 
Back
Top Bottom