TANZIA: Mzee Hamis Chifupa afariki dunia

TANZIA: Mzee Hamis Chifupa afariki dunia

R.I.p mzee wetu.one day tutakuwa tu na chifupa road kuenzi mchango wa mwanao katika kuunga mkono juhudi zake za vita zidi ya madawa ya kulevya.
 
Kifo ni tukio baya sana, linaumiza, linaudhi, linakera, linasononesha, ni tukio lenye kila aina ya manyanyaso kifo hakina huruma. RIP
 
Msalimie mwanano maana tunajua hakufa bali anaish mwambie sass madawa ni janga maana mpk wauza ganja wanatajw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom