TANZIA: Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa Vijijini, Sinkala, apata ajali na kufariki

Poleni wafiwa na makanda wote Iringa, Mungu awatie nguvu na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu cha msiba!!
 
pole kwa Familia na chama mkoa wa iringa, kwa kuondokewa na kamanda Mwenda, Mungu Awape Faraja zake katika kipindi hiki kigum.
 
pole kwa familia, chama, wanairinga,na wapenda mabadliko kwa ujumla.

rip kamanda.
 
RIP Kamanda, hizo zinazotisha ziwekwe hapa hivyo hivyo ili na sisi tushiriki kikamilifu kwenye msiba! Si unajua kuwa zikituzingua ndio tuta-feel uchungu?
 
unajua Mwenyezi Mungu ameweka wazi sana juu ya maisha ya Mwanadamu , kwamba ukitenda mema hapa duniani huna adhabu kwake , iko wazi kazi ya kukomboa watu kutokana na minyororo ya kitumwa na fikra ni kazi ya Mungu , ni ajali na kamanda ameenda , ni majonzi kwa familia , marafiki , wanachama na viongozi , lakini je ni nani asiyefahamu kazi ya kutukuka iliyofanywa na chadema iringa , bila shaka huyu kamanda ni wa peponi tu , maana alikuwa anafanya kazi ya Mungu Mwenyewe .
 
Sisi ni mavumbi na mavumbini tutarejea....upumzike kwa amani mpambanaji....sisi tuliobaki na pumzi tunaendeleza mapambano ingawa ni jambo lenye kuvunja moyo kumpoteza kamanda kati kati ya mapambano lakini hatuna kuendelea na mapambano kwani ndio njia pekee ya kukuenzi.....
RIP....
Mungu ampe pumziko la milele. Msalimie kamanda Mawazo, mwambie sisi mapambano yanaendelea
Mnapambania nini?? Acheni upuuzi hapa ni msibani mtakieni heri marehemu inatosha..

RIP Kamanda
 
Back
Top Bottom