TANZIA: Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa Vijijini, Sinkala, apata ajali na kufariki

Mnapambania nini?? Acheni upuuzi hapa ni msibani mtakieni heri marehemu inatosha..

RIP Kamanda
Samahani ndugu kama umekwazika na andiko langu....lakini pia unatakiwa ujifunze kuheshimu hisia za wengine....kama wewe huyu aliyekufa hana maana kwako basi haimaanishi kuwa hana maana hata kwetu sisi....nilichoandika pale ni kuonyesha ni jinsi gani nimeguswa na msiba wa huyu ndugu yetu....kama wewe umefurahishwa na msiba hu basi utakuwa na matatizo yako mwenyewe...
 
Mungu ampe pumziko la milele. Msalimie kamanda Mawazo, mwambie sisi mapambano yanaendelea
Akamwambie pia kuwa lowasa si fisadi tena na falsafa ya chadema sasa ni kuwa Tanzania haiendi pasipo misaada ya wazungu
 
Samahani ndugu kama umekwazika na andiko langu....lakini pia unatakiwa ujifunze kuheshimu hisia za wengine....kama wewe huyu aliyekufa hana maana kwako basi haimaanishi kuwa hana maana hata kwetu sisi....nilichoandika pale ni kuonyesha ni jinsi gani nimeguswa na msiba wa huyu ndugu yetu....kama wewe umefurahishwa na msiba hu basi utakuwa na matatizo yako mwenyewe...
Ni wapi nimesema nimefurahia.. Acha upimbi kijana.. Eti mnapambana, mnapambania nini?? Wanaopambana wako msituni huko acha mzaha hapa.. Muombee marehemu heri huko anakoenda sio unaleta siasa msibani
 
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Iringa, Sinkala Mwenda amepata ajali jioni ya leo eneo la Tanangozi.

Amekimbizwa hospitali lakini kafariki dunia usiku huu.
View attachment 335098
Picha nyingine hazifai
View attachment 335099
Lucas Sinkala Mwenda wakati wa uhai wake

Sinkala Mwenda alikua Mwanasheria Kijana Msomi wa CHADEMA. Mwenda alikuwa mgombea kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga 2014 ambaye aliwashinda wagombea wengine 12 katika kura za maoni ndani ya chama, alipokwa ushindi na chama hicho na kikamteua mshindi wa pili Grace Tendega kupeperusha bendera katika uchaguzi mdogo huo.

Kwa sasa alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Iringa Vijijini
Innalillah wainnailaih raj'uun.
 
12936538_585085048309880_2538883036888136072_n.jpg

12495131_585085078309877_2638363315943793470_n.jpg


Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa chadema mkoa wa Iringa Kamanda Sinkala Mwenda amepata ajali ya gari leo maeneo ya Tanangozi kama unaelekea Makambako, na amefariki dunia.

Taarifa zaidi nitaleta baadaye ila picha za ajali ni mbaya na zinatisha.

R.I.P
 
Apumzike kwa amani. Nimeiona ajali hi sio siri ni mbaya sana. Imagine gari hiyo ilipasua tairi na kuruka ikagonga nguzo nene ya umeme ikakatika. Ila ilikuwa sehemu ya spidi 50 na driver alikuwa ana haraka sana.
 
Back
Top Bottom