Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

Poleni sana wanJF wa Arusha kwa msiba wa mwanaJF mwenzetu. Pia nitoe pole kwa familia ya wasaimon kwa kumpoteza mpendwa wao.
 
Last edited by a moderator:
So sad! Poleni JF wote hasa management, Copy Invisible Maxence Melo. Nakubaliana na Mzee wa Rula tukutane soon. Copy Erickb52 Filipo Blaki Womani sweetlady Lily Flower Mungi LiverpoolFC IGWE Nanyaro Ephata Crashwise et al.

Post yake ya mwisho ya tarehe 11.01.2013 inapatikana hapa.
R.I.P. wasaimoni
Re: "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

Post nyingine yenye maneno yenye hekima ya Marehemu inapatikana hapa
Re: Nimetoka Kuzini (Mungu nisamehe)!

Marehemu hakuwa mvivu kufuatilia siasa za Arusha.
Re: Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

[h=3]Re: Dr Harrison Mwakyembe atua Tabora kwa gari moshi leo[/h]
 
Asante kwa taarifa PakaJimmy; Pole kwa wanafamilia wote. Pumzika kwa Amani wasaimon
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom