Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

Mwanga wa milele akuangazie bwana, upumzike kwa amani. Napata chngamoto kuwa...angalau watu kadhaa wakufahamu hapa jamvini, yanapotokea kama haya (ambayo hayaepukiki)..basi kuwe na mtu wa kutoa taarifa, sio tu mnaona Riwa jiii...haonekani siku hizi!
 
Inasikitisha, Mungu ampunzishe kwa amani na mwanga wa milelel umwangazie. Rest In Peace wasaimon
 
RIP wasaimon! poleni wanafamilia Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom