Kiongozi,Pakajimmy mm niko Arusha naomba unipe ramani ya kwenye msiba! au unipm namba yako nikupigie unielekeze mkuu, kiukweli roho imeniuma sana! maana leo yeye kesho sisi!
MkuuMungu awafariji wote,poleni sana!Wafu wamepumzika,ila sisi tulio hai tunajua hakika kuwa tutakufa!!