Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

Polen sana,Wafiwa.R.I.P Wasaimon.Mwanga wa milele akuangazie upumzike kwa Amani.AMINA.
 
Pole kwa wafiwa na wanajf wote kwa ujumla. Mungu amlaze mahala pema peponi na ampe pumziko la milele
 
Poleni sana wanaJF, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Wasaimon. RIP brother.
 
kufa ni faida na kuishi ni kristo,
Mungu amtie nguvu mjane wa marehemu pia na watoto
 
RIP BRODA,kwanza anabahati amekufa amejulikana,sisi wengine tukifa hakuna atakaejua,maana nji hii wakikujua basi hata watoto wako watakuwa hatarini.
 
Poleni sana ndugu zangu wana jamvi na familia ya Wasaimoni Mungu mwenye neema nyingi awafute machozi na katika kipindi hiki kigumu
 
Mwanga wa milele umwangazie ee baba raha ya milele umpe APUMZIKE KWA AMANI AMINA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…