Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
kaka hayo hapo juu ndio maneno yako ya mwisho kwangu! Akilini kwangu yatakaa! Na moyoni kwangu nitayaweka ,,nitajitahidi kwa nguvu zangu zote na kwa akili zangu zote na kwa moyo wangu wote nihudhurie mazishi yako! Japo nikuone kwa mara ya kwanza na ya mwisho ndugu yangu! Ulale salama wasaimon![h=2]topic: nimetoka kuzini (mungu nisamehe)![/h] by wasaimon
replies163views3,288
[h=3]re: Nimetoka kuzini (mungu nisamehe)![/h]
mungu na akusamehe na akupe nuru mpya ya kuweza kutambua mazuri na mabaya.....barikiwa kwa upya!!
Kuwa makini brooo.
Amen!
Nitawafahamisha mipango ya mazishi in case kama atazikwa Arusha. Kuna uwezekano mkubwa akasafirishwa kwenda kwao Mbeya.kaka hayo hapo juu ndio maneno yako ya mwisho kwangu! Akilini kwangu yatakaa! Na moyoni kwangu nitayaweka ,,nitajitahidi kwa nguvu zangu zote na kwa akili zangu zote na kwa moyo wangu wote nihudhurie mazishi yako! Japo nikuone kwa mara ya kwanza na ya mwisho ndugu yangu! Ulale salama wasaimon!
Kweli jamani dunia sio fair
yaani ndio nimetika kumzika rafiki yangu kipenzi kafia labour alikuwa
anafanya kazi Ardhi na amekufa na mtoto tumboni,nakuja jamvini
nijiliwaze nakutana tena na Tanzia sijui niende wapi mimi jamani jamani
Mungu wangu may their soul rest in peace jamani,mungu tusaidie