Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

Poleni sana wana j.f na wadau wa arachuga kwa ujumla
 
so sad jamani Mungu amlaze pema peponi
ameacha watoto wachache sana na alikuwa kijana aliedhamiria kueleta mabadiliko kwa kweli
RIP WASAIMON
 
R.i.p wasimon ,mkuu pakajimmy tupe ripoti ugonjwa gani hasa kitaalamu ulio toa uhai wa mwenzetu
 
Too sad. Poleni wafiwa na Mungu ampe mapumziko mema huko mbele ya haki alikotangulia.
 
Ooh ni masikitiko kupoteza mojawetu, Ee Mwenyezi Mungu uilaze Roho ya Marehemu mpendwa wasaimon katika mahala pema hizo ndio sala zangu pia kwa familia na jamaa ya Marehemu, uwape nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu PakaJimmy na wana Arusha wing wote....pia wadau wote wa JF

Pia fikisha pole zetu kwa mke, watoto na familia ya marehemu.

Tunaomba mtujuze kinachoendelea ili kama kawaida yetu tuweze kushiriki kumsindikiza mwenzetu katika safari yake ya mwisho hapa duniani...

R.I.P Kamanda - wasaimon...
 
Last edited by a moderator:
RIP

So Sad :A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…