Tanzia: Mwanafunzi wa UDOM afia juu ya kifua cha mwanamke wakati wa Tendo pendwa

Habari

Kuna taarifa ya kusikitisha! Mmoja wa wahitimu wa udom 2017 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa nyumba ya kulala wageni.

Chanzo:
Alitumia viagra vidonge vitatu (3).

Kifo chake kilitokea baada ya mwenzake jinsia ya kike akiwa ameshindwa kumudu shughuli ya tendo la ndoa kulingana na dawa hizo kuwa zaidi ya kiwango husika.

Kwao na marehemu ni Magu mkoani Mwanza.

Rai yangu:
Vijana tujaribu kuwa waangalifu hususani na dawa za aina hii, na wengi huwa wanadhani wanataka kukomoa.

Tubadilike katika hili, elimu sio darasani pekee.

Nb:
Wale wa mambo ya m-congo kuweni makini pia.
Kiustaarabu sio vyema kusema kitivo alichosomea wala jina lake.
Niwatakieni asubuhi njema.

Ahsanteni
Namfahamu marehemu...
 
Mmh.. Kwanini mtu asitosheke na hali yake? Hii kutafuta ziada matokeo ndo hayo

... Amuweke mahala panapostahiki. Ameen.
Yeye hana shida na hali yake, shida ni huyo demu wake sasa, kila siku kulalamika, mwanaume gani wewe, unasugua dakika arobaini na tano ndo umwage unajiona mjanja, wenzio wanapiga goli moja baada ya masaa mawili, unajitia mjanja unapiga bao tano tu kwa naiti moja unajiona wewe ndo mwanaume, wenzio wanamwaga mpaka goli kumi na mbili kwa naiti moja. Sasa kidume ukisikia hivyo na mtoto ndoumemfia unafanya nini? si unatafuta mamluki wakusaidie, ndo hapo sasa unabwia ma viagra na matakataka mengine sijui ya kongo.
 
Mwanaume rijali sio kukimbiwa na mwanamke kitandani, nikumfurahisha mwanamke kitandani, vijana wananipa hofu kuwa inamaana kumbe nguvu hawana mpaka kutumia vidonge? Sasa hembu oneni aibu hiyo na hasara kwa familia na taifa kwa ujumla, nashauri wanaume/ vijana jitahidini kula vyakula vya asili na mtafanikiwa kumudu gemu bila kumhonga refa
 
Hahahaaa! jamaa alikua anshindana na alipotokea hiyo ni ngumu lazima ushindwe tu.
 
Back
Top Bottom