Tanzia: Mwanafunzi wa UDOM afia juu ya kifua cha mwanamke wakati wa Tendo pendwa

Huko mikoani kuna maajabu mengi sana ni vile tu hakuna vyombo vingi vya Habari,watu wa mikoani wengi ni wasengerema sana
 
Nilijua matatizo ya nguvu za kiume ni kwa wanaume wa Dar tu.Kumbe hadi nyie wa Mkoani lol nzi kafia kwenye kidonda.Pumzika kwa aman kamanda.
 
Hii ni habari mbaya sana, tutapoteza vijana wengi wa mikoani, acheni kutumia madawa ya kuongeza (nguvu uume) nguvu zinazotambulika kama za kiume.
 
Hivi unaanzaje kula mavidonge wakati kuna tecnic zisizo na madhara kabisa unazoweza kuzitumia na ukapiga mzigo balaa
 
Vijana wa siku hizi mna shida gani? Siku moja tumeenda field umasaini, wacha vijana wachangamkie miziziology ya kimasai ya kuongeza nguvu za kiume! Taifa linaangamia hili!!
 
Back
Top Bottom