Polisi yatoa taarifa rasmi juu ya kifo cha Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,829
21,461
Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), kimethibitisha kufariki dunia kwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya Sanaa katika Elimu, katika Ndaki ya Insia na Sayansi ya Jamii, NusuraHassan Abdallah ambaye tangu mwanzoni mwa wiki taarifa zake zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya jamii.

Bila kutaja sababu za kifo chake, taarifa zilizotolewa na kitengo cha masoko na mawasiliano Ijumaa Mei 5, 2023 imesema Mei 3, 2023 menejimenti ya chuo hicho ilipokea taarifa kutoka kwa mwanafunzi anasoma naye kuwa amepokea taarifa kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa mjomba wake Nusura akimjulisha kuwa mwanafunzi huyo amefariki dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Faraja iliyopo Himo mkoani Kilimanjaro.

Hata hivyo, taarifa hiyo imesema hadi kufikia Aprili 27, 2023 Nusura alionekana chuoni akiendelea na masomo.

Mwananchi

UPDATES...

Screenshot_20230506-141207.jpg
 
Taarfa zimekua Nyingi tulia tusubiri uoande wa Familia hasa wale wajomba wakotofi ndio watakotupa taarfa za uhakika kwenye Online Tv wakianza kuhojiwa sio hawa Mwananchi
 
Kama mnasukumwa na nafasi za watu kukanusha fedhea kwa watawala wenu, tuna sababu gani ya kuwaamini?

Taarifa ya ajali tumeisikia kupitia hao hao waliosema mnachokikanusha, ambapo nyie mnachagua cha kusema mkiwa mmebanwa na taarifa zilizotangulia.

Mjengoni ni wafanyabiashara tu kama wafanyabiashara wengine wale
 
Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), kimethibitisha kufariki dunia kwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya Sanaa katika Elimu, katika Ndaki ya Insia na Sayansi ya Jamii, NusuraHassan Abdallah ambaye tangu mwanzoni mwa wiki taarifa zake zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya jamii.

Bila kutaja sababu za kifo chake, taarifa zilizotolewa na kitengo cha masoko na mawasiliano Ijumaa Mei 5, 2023 imesema Mei 3, 2023 menejimenti ya chuo hicho ilipokea taarifa kutoka kwa mwanafunzi anasoma naye kuwa amepokea taarifa kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa mjomba wake Nusura akimjulisha kuwa mwanafunzi huyo amefariki dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Faraja iliyopo Himo mkoani Kilimanjaro.

Hata hivyo, taarifa hiyo imesema hadi kufikia Aprili 27, 2023 Nusura alionekana chuoni akiendelea na masomo.

Mwananchi
Ndo nini hiki mkuu?
Mara Dar Es salaam,mara Dodoma?
 
Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), kimethibitisha kufariki dunia kwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya Sanaa katika Elimu, katika Ndaki ya Insia na Sayansi ya Jamii, NusuraHassan Abdallah ambaye tangu mwanzoni mwa wiki taarifa zake zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya jamii.

Bila kutaja sababu za kifo chake, taarifa zilizotolewa na kitengo cha masoko na mawasiliano Ijumaa Mei 5, 2023 imesema Mei 3, 2023 menejimenti ya chuo hicho ilipokea taarifa kutoka kwa mwanafunzi anasoma naye kuwa amepokea taarifa kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa mjomba wake Nusura akimjulisha kuwa mwanafunzi huyo amefariki dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Faraja iliyopo Himo mkoani Kilimanjaro.

Hata hivyo, taarifa hiyo imesema hadi kufikia Aprili 27, 2023 Nusura alionekana chuoni akiendelea na masomo.

Mwananchi

UPDATES...

Hii taarifa imetolewa kama ile kumhusu Tundu Lissu kipindi kile.
 
POLISI WETU NI WAONGO MNO.

SIJUI ITAKUWAJE KWA UKOSEFU HUU WA MAADILI WA JESHI CHAFU.
RUSHWA.
MAUAJI.
WIZI
DHULUMA NK.

MABINTI WA VYUO DODOMA, UDOM, MIPANGO, CBE, ST JOHN, MILEMBE, CAPITAL, MADINI NK.HAO WANAUME WANAOKUJA DODOMA WAMEACHA WAKE NA FAMILIA ZAO.

UMALAYA SIO UJANJA.

KWA MTINI JIFUNZENI.
 
Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), kimethibitisha kufariki dunia kwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya Sanaa katika Elimu, katika Ndaki ya Insia na Sayansi ya Jamii, NusuraHassan Abdallah ambaye tangu mwanzoni mwa wiki taarifa zake zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya jamii.

Bila kutaja sababu za kifo chake, taarifa zilizotolewa na kitengo cha masoko na mawasiliano Ijumaa Mei 5, 2023 imesema Mei 3, 2023 menejimenti ya chuo hicho ilipokea taarifa kutoka kwa mwanafunzi anasoma naye kuwa amepokea taarifa kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa mjomba wake Nusura akimjulisha kuwa mwanafunzi huyo amefariki dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Faraja iliyopo Himo mkoani Kilimanjaro.

Hata hivyo, taarifa hiyo imesema hadi kufikia Aprili 27, 2023 Nusura alionekana chuoni akiendelea na masomo.

Mwananchi

UPDATES...

Wallah tena! Hapa kuna kitu kinafichwa. Siyo bure. Hiki kifo cha huyu binti kinatatanisha. Mamlaka zetu zitambue tu Wananchi siyo mbumbumbu kwa kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom