Tanzia: Mwanafunzi wa UDOM afia juu ya kifua cha mwanamke wakati wa Tendo pendwa

Mikasa ya vifo vya mahaba udom hakwishagi aisei..! Siye mapiooners mpk leo vijana wanakufa tuuh...!
 
Shida hizi, umridhishe mwanamke kwa kumpa hela, umtoe lunch chakula na vinywaji, usafiri, hoteli nzuri, ule viagra kwa ajili ya kumridhisha, mwisho wa siku unafia kifuani ..

NB : a good woman are rare to find when you find one make sure you hold her tight..ambaye atakufanya usinywe viagra na kwenda nyumba za kulala wageni.
 
Dawa za kuongeza nguvu zina sababisha mabadiliko makubwa sana kwenye mfumo wa mzunguko wa damu hivyo kusababisha mtu kuweza kupata stroke au heart attack anavyozitumia......kabla hujatumia dawa yeyote angalia indication na contraindications zake.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom