TANZIA: Mwana JF mwenzetu Jeska amefiwa na mama yake mzazi huko Bukoba

Asante sana kwa taarifa shem.
Pole sana Jeska, Mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu.
RIP mama Jeska
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mpendwa Jeska mungu akupe nguvu pole kwa kupatwa na msiba najua nikipindi kigumu kwako ila haunajinsi zaidi muombe mungu akupe nguvu Bwana ametoa Bwana ametwa!Lala milele kwa heri Mama.
 
Last edited by a moderator:
Ni matumaini yangu kwamba wote ni wazima wa afya.

Nimepata taarifa asubuhi ya leo kwamba mwana JF mwenzetu Jeska amefiwa na mama yake mzazi huko Bukoba hapo mnamo tarehe 21 May 2014 na amekwishaondoka kwenda Bukoba kuhudhuria mazishi ya mama yake.

Ukweli ni kwmaba nilichelewa kupata hizo taarifa kwa sababu na miye nilikuwa nje ya mkoa na huko nilikokuwa network ilikuwa inasumbua na ndiyo sababu nikachelewa kupata taarifa. Naamini mama yetu atakuwa ameshapumzishwa kaburini na siye kama familia tumuweke mwana JF mwenzetu Jeska katika maombi.

Kwa sasa najaribu kumtafuta mtandaoni simpati nadhani inaweza kuwa ni network maana sijajua ni Bukoba sehemu gani, lakini nitakapopata taarifa zaidi nitawajulisha.

Raha ya Millele Umpe Ee Bwana Na Mwanga wa Milele umuangazie, Apumzike kwa Amani.

Amina.

CC:
Kaizer, Paloma, Ennie, Lisa, Ruttashobolwa, Asprin, KakaKiiza, Maxence Melo, gfsonwin, cacico, Bujibuji, Kiranga, Nyani Ngabu, The Boss, BADILI TABIA, snowhite, Fixed Point, Nivea, Tina, lara 1, King'asti, Mwita Maranya, charminglady, Asnam, Elizabeth Dominic, Arushaone, Nicas Mtei, Munkari, MankaM, Heaven on Earth, Asprin, Filipo, Preta, Mungi, Don Mangi, Lady doctor, mayenga, mwekundu, figganigga. Samahani nimewataja wachache lakini naamini wote kwa pamoja ujumbe huu utawafikia
Pole nyingi kwa mpendwa Jesca Mungu azidi kukutia nguvu.
Mkuu cc is bora ungewatumia Kwa SMS kwani is wangesoma tu kama wangepitia JF.
mkuu kwa swala la msiba ni la kwetu sote kama wanajamiiforum. Hizi cc zinakwaza sometimes!
 
Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu Jeska mama kamaliza safari yake duniani ni heri tuombee roho yake huku tukijiombea nasi na vyema kukuombea pia uwe na nguvu
Raha ya Millele Umpe Ee Bwana Na Mwanga wa Milele umuangazie, Apumzike kwa Amani.

Amina
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom