TANZIA: Mwana JF mwenzetu Jeska amefiwa na mama yake mzazi huko Bukoba

Ukisoma kisa cha Razaro ktk maandiko matakatifu, Yesu anafananisha kifo km kulala usingizi! Na pia kuna tumaini la ufufuo Na kuwaona wapendwa wetu kwa Mara nyingine tena. Tunaumia pale tunapowakosa ndugu zetu Na wapendwa wetu, Lkn farijiko letu kuu Na tumaini letu kuu Liko kwa Yesu. Nipende kukufariji ndugu yetu Jeska ktk wakati huu kwa kukwambia kwamba muangalie Yesu! Yeye ndio kimbilio la yote Na wakati wote! Mama yetu amelala au amepumzika, Lkn tutamuona tena Na kukutana nae tena ile siku ya mwisho atakapofufuliwa Na Bwana wetu Yesu Kristo!

Na pia tujiweke Tayari wapendwa ktk Mapito yetu Maana hatujui ni lini tutalala mauti! Matukio km haya yanapotokea yawe km ujumbe Wa kutujuza Kua Na Sisi ipo siku tutalala mauti! Je tu wakamilifu kiasi gani ktk Mapito yetu? Je tutalala mauti ktk tumaini la uzima Wa milele? Lkn peke yetu hatutoweza inatupasa tujikabidhi mikononi mwa Yesu kikamilifu atuongoze ktk yote mpk pale mauti zitakapo tukuta tuko Tayari!

Niwatakie siku njema tunapotafakari ujumbe huu!

Mungu akubariki Jeska na akutie nguvu na amani na faraja ktk wakati huu na siku zote Na Mungu awabariki wana jf wote!

Asante!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndio njia yetu sote kwani kila kilichozaliwa ni chenye kufa yeye katangulia nasi tutamfata.

Pole sana.
 
Nitoe pole zangu pia kwa Jesca na wote walio nyuma yake,poleni sana na Mungu amrehemu mama yetu kwa amani,Amen!

Mtambuzi hebu sasa tupe mahala msiba uliko maeneo gani (kichweka ki) hasa hapo Bk ili tuweze kuwajulia pole na majirani zake kwa ujumla
 
Hello Jeska,

Remember....Friends (ie. All of us at this Forum) are pillars on your pouch. Sometimes they hold you up, sometimes they lean on you, and sometimes it's just enough to know that they are standing by.....

May the piece that comes from the memories of love shared comfort you now and in the days ahead.

RIP Mama Jeska.
 
Nitoe pole zangu pia kwa Jesca na wote walio nyuma yake,poleni sana na Mungu amrehemu mama yetu kwa amani,Amen!

Mtambuzi hebu sasa tupe mahala msiba uliko maeneo gani (kichweka ki) hasa hapo Bk ili tuweze kuwajulia pole na majirani zake kwa ujumla
Jeska anaondoka kesho anarudi dar kwa sasa yupo rwamishenu.
If your interested nikupm no ya jeska
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom