TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

hakuna sehemu ambayo mleta mada ka-tag ID ya jf ya marehemu.labda ali-tag halafu moderaters wakaifuta.
f03657ccc273f282ef4edba4af25c34f.jpg
Click kwenye jina la marehemu ID yake itafunguka
 
Daaahhhh, poleni sana jamani,
Zile Noah zetu zikija mwandaeni kabisa mrithi. Zipo karibu kwa sasa.
Poleni sana wana familia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom