TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

Pumzika kwa amani ndugu yetu

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Poleni sana wafiwa Mungu awatie nguvu katika kipidni hiki kigumu
 
Pale Mkula napafahamu,ndipo nyumbani kwa Dr Rafael Chegeni na hasimu wake kisiasa Dr Titus Kamani.Poleni sana ndugu na jamaa
 
Back
Top Bottom