RIPR.I.P
Unahitaji kuwa Lissu kupangua hoja za Lissu
Huenda alikuwepo hadi kifo chake ila kabadili IDMara ya mwisho yey kuingia hapa JF ilikuwa 2012.
Poleni sana mliopatwa na msiba.
RIp bro
Kwa taarifa yako huyu ni mdogo
Boss nakukubali sana ,nitaendelea kujifunza katika post zako kadha wa kadhaWasalam, wasalaam nduguzanguni.
Ni wakati wa majonzi sana,nawapa mkono wa pole.
Apumzike kwa amani marehemu Kennedy.
I'm out like a scout on an exhibition route, or a soldier stepping around mines behind enemy lines.