TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

Apumzike patakatifu Mungu amsamehe madhambi zake za hapa duniani

Dr
 
Alazwe mahali pema.
Nilimfahamu huyu, ni jamaa yangu.
 
hiyo ID ya marehemu ipo wapi ndg?....au macho yangu mabovu?.
iweke hapa link yake kama unayo.
Kwenye uzi wa mleta mada, alivyotaja jina la marehemu ni kama alimtagi hivyo uki click hilo jina Kennedy... litafunguka
 
poleni wafiwa Mungu awafariji

je hapa jf alikuwa anatumia ID gani mkuu?
 
Back
Top Bottom