TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

Mungu ailaze roho yake pema peponi lakini na sisi tuliobaki tujue huu sio mji udumuo kwa mola tutarejea hivyo inatupasa tutende yale yote mema Mungu aliyoagiza
 
jamani kwa hali kama hii mngekua mnatoa majina yake halisi,ingekua vyema sana
 
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani!Amina.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Heri yake tunamkumbuka sasa, sijuwi sie tutakumbukwa au la!! Allah ampe haki aliyomuandalia nasi atupe haki.
 
Back
Top Bottom