TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

Kifo ni haki ambayo hakuna mtu anawezamdhulumu mwenzie.

RIP member mwenzetu, nyuma yako tupo twaja.
 
umetangulia ndugu yetu nasi twafwata, mungu ailaze roho ya marehemu kanjunju mahali pema peoni, bwana ametoa bwana ametwaa. amen
 
Innalillah wainna ilaihi raajiuni. Hii ID sio ngeni sana kwangu
 
Back
Top Bottom