TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
 
RIP Mufti wetu. Misimamo yako yenye kujali utu, utaifa, umoja, na mshikamano wa kitaifa kwa hakika ni alama njema uliyotuachia. Upumzike kwa amani Sheikh. Maziko sijui ni saa ngapi na wapi nikamzike kiongozi huyu muadilifu.

Ni msiba wetu wote. Mungu awafariji wanafamilia na wote. Tumkumbuke na kuiga kwenye wekundu na yaliyofanana na hayo.
 
Innaa lillaahi wainna ilaihi raajiun.
May Allaah forgive him and give him tathabbut in his grave.
 
R.I.P baba Mwanahawa............Mungu akurehemu huko ulipo. Poeni sana watoto wake Maimuna et al na wote tulikokuwa shinyanga enzi hizo.

Ila nina wasiwasi a huyu mtoto wa Sheikh Yahya Husein kila kaitabiri kuwa kuna kiongozi wa kisiasa atafariki.....wanaondoka wa upande
 
R.I.P baba Mwanahawa............Mungu akurehemu huko ulipo. Poleni sana watoto wake Maimuna et al na wote tulikokuwa shinyanga enzi hizo.

Ila nina wasiwasi na huyu mtoto wa Sheikh Yahya Husein kila wakitabiri kuwa kuna kiongozi wa kisiasa atafariki.....wanaondoka wa upande wao

Poleni sana
 
Polen nduu zetu mbeleyake nyuma yao
 
Back
Top Bottom