TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

RIP shehe Issa,poleni sana Jamila na wenzako wote kumpoteza baba .
 
Poleni waislamu katika kipindi hiki kigumu Mungu awajalie kuwa wamoja mpaka mtakapo pata kiongozi mpya.
 
Dah bado kidogo angewahi mwezi wa ramadhan , tumeimbiwa katika kitabu takatifu Quran " hakika kila nafsi itaonja umauti" inshaAllah mwenyezi mungu Amlipe kwa kile alichokichuma duniani ...

Amin

Poleni wafiwa na waislam kwa ujumla
 
Ulale unapistahili mufti ingawa wapo kibao waliopinga harakati zako.
 
Alhamdullilah........death is part of life.Kifo ni funzo kubwa kwetu binadamu.Pia tunaambiwa KIBRI ni vazi la ALLAH.... tufuate tuliyoamrishwa na tuache tuliyokatazwa.
hosia mzuri sana huu. R.i.p mufti
 
TANZIA: Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba afariki dunia leo Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam, BAKWATA yathibitisha.
Atakayepata ratiba ya kinachoendelea baada ya kifo cha Mufti Simba atujuze. Bwana ametoa Bwana Ametwaa Jina lake lihimidiwe.
 
Daah!! Poleni sana ndugu zetu Waislam. Yote ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu, mazishi yatafanyika wapi na muda gani? Tangulia Mufiti, nenda ukicheka na kuimba!.
 
Kwa jinsi JK alivyona huruma nna hakika km yupo nje ya nchi atarudi fasta leo leo, hawezi kukosa picha za kwenyee msiba za mtu muhimu kama huyo, lakini pia wale waliochukua form wataweka matanga siku 3 msibani,

R.I.P mzee wetu,
 
Poleni waislaam wote na wapenda amani wote kwa kuondokewa na kiongozi shupavu
 
Inna Lillahi Wainailllahi Rajiun. Sote tunaelekea hukohuko. Kapumzike Maalim.
 
Back
Top Bottom