Alhamdullilah........death is part of life.Kifo ni funzo kubwa kwetu binadamu.Pia tunaambiwa KIBRI ni vazi la ALLAH.... tufuate tuliyoamrishwa na tuache tuliyokatazwa.
Poleni sana ndugu zetu waislamu kwa msiba wa kiongozi mkuu. Mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu hasa wakati mkikaribia katika mwezi mtukufu wa Ramadhan. Naamini mungu atawajalia mpate kiongozi mwingine imara kwa maslahi ya imani yenu na umoja wetu sote na upendo kwetu sote kama watanzania. Hakika ni msiba wetu sote. RIP
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.