TANZIA: Mshtuko wa Ghafla

TANZIA: Mshtuko wa Ghafla

Pole sana kwa msiba.
Shangazi apumzike kwa amani.
 
Habarini mabestito

Nimepokea taarifa ya mshtuko wa ghafla wa msiba ambao sijautegemea
muda si mrefu, nimeshindwa kustahimili wapendwa wangu naitaji maombi yenu.

Mwenzenu Nimeondokewa na Shangazi yangu anayeishi Morogoro hivyo
niko kwenye maandalizi ya kwenda huko. Bwana ametoa na ametwaa
Jina lake lihimidiwe.


Ladyf

Pole sana sis... Mungu akupe ujasiri!!
 
Pole sana ndugu,,,,,,Mungu amlaze mahali pema Auntie yetu

Nasi tuko nyuma,,,,,safari yetu sote ni moja

Mungu akupe nguvu@ladyfurahia
 
Pole mkuu
Mungu akutie nguvu.......
 
Pole sana na msiba wa shangazi. Mungu akufanyie wepesi
 
pole sana ma dia...Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu
Nashukuru Bestito kwa faraja yko tumeshazika na nimesharudi nimekwisha poa

Pole sana Lady Furahia, jipe moyo na Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
Nashukuru bestito kwa faraja kweli jf ni zaidi ya ndugu

Pole sana ladyfurahia,ni mipango ya Mungu,ni safari yetu wote,shangazi yetu ametutangulia!Mungu akupe faraja na familiya nzima kwa ujumla.Mungu aiweke roho ya shangazi yetu mahali pema peponi,Amina!
Nashukuru mpendwa nimejua kuwa jf hapa nina ndugu rafiki na wapendwa wangu asante kwa faraja yako

Pole sana....
Mungu akupe moyo wa subra katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa...
Nashukuru mpendwa wangu kwa faraja hii nimesharudi niko tena kibaruani

pole sana mpendwa
Nashukuru bestito wa ukweli faraja yako hii nimesharudi ila hujanijibu ule mzigo hupo ama bado haujaingia

Mungu akupe ustahamilifu,aibariki pia safari yako na pia akupe afya njema katika kipindi hiki kigumu..
Muumba wetu aipokee kwa rehema roho ya marehemu...Amina
pole sana Ladyfuraha

Asante rafiki nashukuru nimerudi salama wapendwa wangu

Pole sana ladyfurahia tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na shangazi yako
Nashukuru sana bestito kkwa faraja hii nimesharudi dar nawajibika sasa nimekumisije baba Ngina we acha tu?

pole bi dada... yote ni mipango ya mungu!mungu awape nguvu...
Asante binamu yangukwa faraja hii kwei jf ni zaidi ya ndugu

Pole sana kwa msiba wa auntie yetu
Mbele yake nyuma yetu
Asante bestito nimekiwisha poa nimesharudi niko hewani tena asante kwa faraja yako

Pole sana my dada
asante rafiki kweli jf ni zaidi ya ndugu barikiwa

rip sha.gazi wa moro.
nilirudijana na leo nimejaa tele besti nashkuru kwa faraja yako

Pole sana Mwenyezi Mungu akupe wepesi katika kipindi hiki kigumu
asante bestito wangu wa ukweli kwa faraja hii nimeamini kuwa sikuwa peke yangu niko na ndugu zangu hapa jf

Pole sana kwa msiba ladyfurahia. MUNGU ampumzishe kwa amani auntie!
asante shem kwa faraja hi nimesharudi sasa kweli jf ni zaidi ya ndugu nimeona upendo wenu kwangu

mmbarikiwe
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kwa msiba.
Shangazi apumzike kwa amani.

Asante sana best kwa faraja ulionionesha ubarikiwe

Yote ni mapenzi ya mungu
Asante rafiki yangu kwa faraja yako namwachia Mungu yeye nidiye aliyetoa naye ametwaa jina lake lihimidiwe

Pole sana sis... Mungu akupe ujasiri!!
Asante sana my cousin kwa faraja hii nawe Mungu akutokee na amponye ndugu yetu ubarikiwe

Pole sana ndugu,,,,,,Mungu amlaze mahali pema Auntie yetu
A

Nasi tuko nyuma,,,,,safari yetu sote ni moja

Asante sana rafiki kwa faraja yako ila wewe sio ndugu yetu jamani? Lady doctor njoo umwone ndugu mwingine sijui ni wetu au la hebu muullize baba bado hajaacha ule usanii wake?



Pole sana,Mungu akupe nguvu.R.I.P shangazi.
asante rafiki kwa faraja yako kweli umekuwa rafiki best

Pole sana. Wape pole wafiwa wote.

Asante bestito kwa faraja hii nimeamini jf ni zaidi ya ndugu asante ubarikiwe

vile vile napenda niwashukuru sana hawa Jiwe Linaloishi, Young Master, nitonye, charminglady, Paloma, Passion Lady wamekuwa watu wakaribu yangu sana kwa faraja zao na sio kwamba nawabagua humu ndani bali wote mmekuwa karibu ila hawa walikuwa nami kila hatua na dakika kujua kila kitu kilichoendelea kwenye msiba huu wa shangazi yangu nimefurahi kuona kuwa jf ni zaidi ya ndugu tunajaliana tunapendana na kutakiana her kwa kila jambo
nasema marafiki zangu wote hapa MMBARIKIWE NAWAPENDA

Poleni wafiwa, Mungu awatie nguvu.

Pole mkuu
Mungu akutie nguvu.......

Pole sana na msiba wa shangazi. Mungu akufanyie wepesi

Mungu akupe nguvu katika kipind hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
asante best nashukuru sana ila mbona sikupati kwenye sim yako huko milimani ambako hupatikani best?
tumuombee binamu yetu charminglady anauguliwa na nduguye best

Pole sana my cousin ladyfurahia, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

AMEN!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom