TANZIA: Mshtuko wa Ghafla

TANZIA: Mshtuko wa Ghafla

pole sana ma dia...Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu
 
Pole sana Lady Furahia, jipe moyo na Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana ladyfurahia,ni mipango ya Mungu,ni safari yetu wote,shangazi yetu ametutangulia!Mungu akupe faraja na familiya nzima kwa ujumla.Mungu aiweke roho ya shangazi yetu mahali pema peponi,Amina!
 
Last edited by a moderator:
asante bestito nashukuru sana nasafiri kesho asubuhi nahitaji maombi yako

Pole sana ladyfurahia,ni mipango ya Mungu,ni safari yetu wote,shangazi yetu ametutangulia!Mungu akupe faraja na familiya nzima kwa ujumla.Mungu aiweke roho ya shangazi yetu mahali pema peponi,Amina!
 
nashukuru my dia Mungu yuko upande wetubesti
pole sana ma dia...Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu

nashukuru mpendwa asante kwa sms yako nzuri yenye faraja kesho nasafirii bestito
Pole sana Lady Furahia, jipe moyo na Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.

asante best kwa dua zako
Pole sana ladyfurahia,ni mipango ya Mungu,ni safari yetu wote,shangazi yetu ametutangulia!Mungu akupe faraja na familiya nzima kwa ujumla.Mungu aiweke roho ya shangazi yetu mahali pema peponi,Amina!
 
Pole sana....
Mungu akupe moyo wa subra katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa...
 
Mungu akupe ustahamilifu,aibariki pia safari yako na pia akupe afya njema katika kipindi hiki kigumu..
Muumba wetu aipokee kwa rehema roho ya marehemu...Amina
pole sana Ladyfuraha
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ladyfurahia tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na shangazi yako
 
Last edited by a moderator:
pole bi dada... yote ni mipango ya mungu!mungu awape nguvu...
 
Habarini mabestito

Nimepokea taarifa ya mshtuko wa ghafla wa msiba ambao sijautegemea
muda si mrefu, nimeshindwa kustahimili wapendwa wangu naitaji maombi yenu.

Mwenzenu Nimeondokewa na Shangazi yangu anayeishi Morogoro hivyo
niko kwenye maandalizi ya kwenda huko. Bwana ametoa na ametwaa
Jina lake lihimidiwe.

Ladyf[/QUOTE

R.i.p aunt wa ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mwenyezi Mungu akupe wepesi katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana kwa msiba ladyfurahia. MUNGU ampumzishe kwa amani auntie!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom