TANZIA: Mshtuko wa Ghafla

TANZIA: Mshtuko wa Ghafla

Pole sana kwa msiba yeye mbele sis nyuma yake.

Body without head
 
Uwe pole mwaya, ndo mwisho wa kila mwanaadam.

Mungu awape nguvu, amiin
 
asante best nashukuru sana ila mbona sikupati kwenye sim yako huko milimani ambako hupatikani best?
tumuombee binamu yetu charminglady anauguliwa na nduguye best

My cousin nilikuwa Mbeya now nipo Malawi but keshokutwa nitakuwa Mbeya tena nitakutafuta cousin wangu
pole zimfikie my sis charminglady na Mungu amponye mgonjwa wake
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa msiba. Jipe moyo na kutafakari juu ya maisha yako kwani sote tusafari moja. Chamsingi tujianadae ili zamu yetu ikifika tulale ktk BWANA.
 
Pole sana my dear....dunia ni mapito..... Mungu awe pamoja nawe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom