Honest One
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 235
- 274
Sijaelewa hiyo picha mkuu
Sijaelewa hiyo picha mkuu
Mmmh!Mkuu, hiki kipindi nilikibahatisha siku moja nilienda kumtembelea jamaa yangu... Dah, kweli kuna njia nyingi sana za kufa..
Kuna jamaa alikufa kwa sikitisha sana... Ametoka zake job, home mke wake akamtayarishia juice, kabla hajanywa, akapigiwa simu Na mchepuko wake, mchepuko anataka dushe, jamaa ikabidi apige vidonge viwili vya nguvu za kiume....
Kumbe mchepuko naye akamtayarishia juice, akaweka Na vidonge vingine viwili vya nguvu za kiume...
Kabla ya game, jamaa akakaribishwa juice.... Aiseee... Huyu jamaa alikufa, maana walionesha jinsi mishipa ya damu kwenye ubongo ilivyo pasuka...
Alikuwa upande gani kisiasa? Alikuwa anakubaliana na kipengele cha katiba yao kinachopiganiwa kubadilishwa ili kuondoa ukomo wa utawala ama lah?
Ni kweli kk uyu jamaa alkua ni atar sana sana alkua ana saut balaa na kuna lile song la Zuwena bwana wwe RIP Mkali wayze radioDaaah nkikumbuka lile songi lao la this is opportunity comes once in a life time....kweli maandalio ya moyo ni ya mwanadamu bali jawabu la ulimi hutoka kwa bwana..
Ni kweli ss* mpe mpe uyo umeongea point xna yaanUnaweza jiona mjanja kumbe mshamba,boya la maana. Siasa zenu za kumtakasa mtu anayeshabikia upinzan au anayeitukana serikali haziwasaidii katika safari ya milele.
Aiseee.....Ni kweli kk uyu jamaa alkua ni atar sana sana alkua ana saut balaa na kuna lile song la Zuwena bwana wwe RIP Mkali wayze radio
Unaniumiza sana sana zuuwe..zuuwenaNi kweli kk uyu jamaa alkua ni atar sana sana alkua ana saut balaa na kuna lile song la Zuwena bwana wwe RIP Mkali wayze radio
Ajamzidi zariiii shemelaUnaniumiza sana sana zuuwe..zuuwena
Wewe nawe waongelea nini? Kweli farasi uliyempanda hakuzidi miondoko...Ajamzidi zariiii shemela
Kutokana na habari kwamba alipasuka fuvu(angalia anavyobamizea kwenye hicho kitu kama meza) na kuvunjika shingo(alivyotupwa chini) nadhani ni hiyo.
Kuna miiko, Rastafarian hapigani....zingatieni miiko.Hiyo video siyo yenyewe, mose alikuwa na rafiki zake,alipigwa kweli ila na yeye alirusha ngumi pia,wakati anajihami aliteleza akapiga kichwa kwenye pavement na kuzimia