TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

Mkuu, hiki kipindi nilikibahatisha siku moja nilienda kumtembelea jamaa yangu... Dah, kweli kuna njia nyingi sana za kufa..

Kuna jamaa alikufa kwa sikitisha sana... Ametoka zake job, home mke wake akamtayarishia juice, kabla hajanywa, akapigiwa simu Na mchepuko wake, mchepuko anataka dushe, jamaa ikabidi apige vidonge viwili vya nguvu za kiume....

Kumbe mchepuko naye akamtayarishia juice, akaweka Na vidonge vingine viwili vya nguvu za kiume...

Kabla ya game, jamaa akakaribishwa juice.... Aiseee... Huyu jamaa alikufa, maana walionesha jinsi mishipa ya damu kwenye ubongo ilivyo pasuka...
Mmmh!
 
IMG-20180202-WA0110.jpeg
IMG-20180202-WA0108.jpeg
IMG-20180202-WA0103.jpeg
IMG-20180202-WA0100.jpeg
 
Zuwena ni bonge la ngoma ambalo Radio ameimba halafu jamaa alikuwa na special talent na alikuwa anauwezo wa kugeuza sauti palepale na akaimba sauti Nyingine. See you again legend.
 
Daaah nkikumbuka lile songi lao la this is opportunity comes once in a life time....kweli maandalio ya moyo ni ya mwanadamu bali jawabu la ulimi hutoka kwa bwana..
Ni kweli kk uyu jamaa alkua ni atar sana sana alkua ana saut balaa na kuna lile song la Zuwena bwana wwe RIP Mkali wayze radio
 
Hiyo video siyo yenyewe, mose alikuwa na rafiki zake,alipigwa kweli ila na yeye alirusha ngumi pia,wakati anajihami aliteleza akapiga kichwa kwenye pavement na kuzimia
Kutokana na habari kwamba alipasuka fuvu(angalia anavyobamizea kwenye hicho kitu kama meza) na kuvunjika shingo(alivyotupwa chini) nadhani ni hiyo.
 
Hiyo video siyo yenyewe, mose alikuwa na rafiki zake,alipigwa kweli ila na yeye alirusha ngumi pia,wakati anajihami aliteleza akapiga kichwa kwenye pavement na kuzimia
Kuna miiko, Rastafarian hapigani....zingatieni miiko.
====
R.I.P Radio.
 
Back
Top Bottom