Haya mkuu ongereni bana maana naona mna furaha kweli kweliNdiyo mkuu...ninyi watanzania si mnasema 'dawa ya moto ni moto' anafanya fujo alipwe kwa fujo
Mkuu, hiki kipindi nilikibahatisha siku moja nilienda kumtembelea jamaa yangu... Dah, kweli kuna njia nyingi sana za kufa..Mmmmh.
Kuna kipindi nilikuwa napenda kuangalia cha 1000 ways to die.
My brother. nikiona hata tiles hazijakauka maji nakuwa makini sana.kifo kina sababu nyingi sana.
Inasikitisha na inauma sana.
Mu7 ameshatia mkono hapo na juzi aliwakoromea majaji kwa kutoa hukumu laini.. Huyu bila shaka atanyongwa kabla ya February hii kuisha!Daa ndio maana mieleka wanasema usijaribu popote pale ,,baunsa nae angeangalia ka mwili jamani ona sasa,,hivi hajakamatwa?
Kweli wana umuhimu hawa!MKIMWONA DIAMOND NA MABAUNSA MNAHISI AWANAONYESHA SHOW HIZONDIO KAZIZAKWE
M NIGESHAURI MAARUFU WANAMUZIIKI KODISHENI MABAUNSA NDI O SOLN
Numbisa wanazika lini dia Niko jinja naelekea Kampala...
Kumbe bado ni mtoto ndo maana unaandikaga ujinga humuR.i.p.
Ila hata simjui huyu jamaa, ndio namsikia humu.
Kutokumjua huyo jamaa ndio kunanifanya niwe mtoto??Kumbe bado ni mtoto ndo maana unaandikaga ujinga humu
huyo Idd angekubali kutoka madarakani kirahisi....washukuru wanaume wa JWZ walienda kumtoaIdd Amin alikataaga huu ujinga wa kutawaliwa na mtu mmoja. Lakini mlimwita dikteta ninyi haohao. Tuwaeleweje?
Kwa hiyo siku wakifa Usingizini waache Kulala pia.......!?kujadili kifo ni ujinga kifo kina njia nyingiHii iwe fundisho kwa mastaa wetu wengine....
Mambo ya ugomvi sio mpango.
Mbona hao wanaongea kama wamareka banaSasa huyo baunsa naye kwanni ambamize hivyo mtu si angemtimua tu nje ya club au hata amtandike makofi..... Pombe hizi laiti angekuwa kanisani au msikitini haya yasingemkuta ila maeneo ya kishetani lolote laweza kutokea
Mungu ailaze roho yake mahali panapostahili
Hiyo video ni yenyewe kweli??Mose alikuwa na tatizo kubwa la ugomvi na uchokozi, ana makesi kibao kampala, last year kuna radio host anaitwa kasuku alimtabiria kifo baada ya mose kuvamia party na kutupa laptop ya dj kwenye swimming pool ,jamaa aliwaomba wasikilizaji warekodi kabisa, akasema...mose akiendelea na tabia yake hii kuna siku atapigwa kichwa kipasuke ana atakufa..sasas imetokea kweli...back to the issue ya entebe...
Mose alikuwa anatoka na washkaji zake kuangalia ujenzi wa nyumba yake entebe akamuu kupita hapo de bar kunywa,akamzengua meneja kwamba hana uwezo wa kumnunulia black bottle belaire..meneja akakasirika akamnunulia bottle moja jamaa akafungua kwa dharau akammwagia mteja aliyekuwa anajinywea zake,ndipo vurugu zilipoanza
We nae si unajua ccm tuR.i.p.
Ila hata simjui huyu jamaa, ndio namsikia humu.
Baunsa kakamatwa?Mu7 ameshatia mkono hapo na juzi aliwakoromea majaji kwa kutoa hukumu laini.. Huyu bila shaka atanyongwa kabla ya February hii kuisha!
Inauma kweli!
Sina uhakika lakini nimesikia hivyo!Baunsa kakamatwa?
What are you smoking!?!?Kwa hiyo siku wakifa Usingizini waache Kulala pia.......!?kujadili kifo ni ujinga kifo kina njia nyingi
Mbona video kama sio yenyeweSina uhakika lakini nimesikia hivyo!