TANZIA: Msanii Nipsey Hussle afariki dunia kwa kupigwa risasi

Maara tu baada ya kutangaza kutaka kuandaa documentary ya Dr. Sebi watu walianza kumuonea huruma Nipsey husle kwamba anachokoza makampuni ya madawa na kwamba atamalizwa, na kweli, juzi tu wamemuua, je, hii inaashiria hiyo dawa ipo kweli?
 
Jana baada ya tukio celebrities wengi weusi walikuwa wakiandika kwenye insta page ya GF wake wakimpa pole na kumuomba awe strong. Wana mtoto mmoja na mrembo ni mrembo hasa na walikuwa wakipendana sana.
Halafu mrembo wake kafanana na yule mrembo wa kwenye nyimbo What you know about dat ya TI.
 
Snop dog kila siku anaimba nyimbo za kumtukana Trump na kwenda kuvuta bangi karibu na WH.Kwa nini yeye asipigwe risasi kama issue ni kuikosoa serikali tu unauawa?...Inaonyesha akili yako bado mfu sana.
Tofautisha nchi na rais... Ukigusa interest za nchi huchukui siku unauwawa...

Ukimtukana rais kama Trump hujagusa maslai ya nchi
 
Chanzo cha taarifa hii ni kusikilizana kusoma udaku
 



Mwana JF Deception ameandika sana kuhusu hii topic ya HIV/AIDS

Ukweli una tabia ya kunuka!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…