TANZIA: Mjeda wa Leo Tupo Hapa Pub (kaka wa Mtambuzi) afiwa na Mwanae...............

Paloma

JF-Expert Member
Jan 22, 2008
5,332
4,951
Kwa niaba ya .............. ninasikitika kuwapa taarifa ya msiba wa mtoto wa Mjeda wa Leo Tupo Hapa Pub na Mtambuzi, aliyefariki leo alfajiri hospitalini alipolazwa kwa matibabu, kwa kuugua muda mfupi.
Msiba upo nyumbani kwa Mjeda Mwenge, maghorofa ya jeshi karibu kabisa na TRA. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Mjeda na kwa taarifa niliyoipata mwili wa marehemu utasafirishwa kesho kwa ajili ya mazishi kwao Moshi.

Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wa JF CC na wote wenye mapenzi mema.

Na kwa sababu hii napenda kuwafahamisha kuwa birthday party ya Mjeda iliyopangwa kufanyika Leo Tupo Hapa Pub hapo ijumaa tarehe 22 March, haitafanyika tena!

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mtoto wa Mjeda na Mtambuzi, mahala pema peponi - Amina!

Nawapa pole sana wafiwa!


cc AshaDii, cacico snowhite gfsonwin Madame B KakaKiiza King'asti amu Asprin Fidel80 Asnam Mentor Ruttashobolwa Kaizer The Finest manoah Jiwe linaolishi Kipaji Halisi Chachu Ombara Superman marejesho Preta Nyamayao Arushaone Filipo Nicas Mtei Eiyer Kaunga charminglady Elizabeth Dominic mwaJ Swts Jeska lara 1 Vin Diesel Mamndenyi Teamo Boflo saudari sosoliso Safari_ni_Safari Mwita Maranya Mulama figganigga et al..........
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu!Na mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi!
 
pole sana ankoli mtambuzi kwa kupoteza kipenzi chenu ambacho kingekuja kuwatoa mbeleni ila GOD kampenda zaidi..

RIP dude mtambuzi son
 
Jamani pole sana Mjeda na Mtambuzi kwa kuondokewa na.mwanao mpendwa may his little soul rest in eternal peace.
Moyo wangu unaenda kwa wafiwa Mwenyezi Mungu awape nguvu kwenye kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
Poleni wafiwa, Mungu ampe pumziko lenye amani mtoto mpendwa. Paloma asante kwa taarifa, pole na wewe na marafi wote wa wafiwa.
 
Last edited by a moderator:
Parental grief is boundless. It touches every aspect of the parent's being...The range of expression of parental grief is wide...Some parents will express tears and hysteria openly. Others will silence these expressions and grieve inwardly...Despite the volumes of work on grief, the experience of grief seems to defy description... Definitions touch the fringes of grief but do not embrace its totality or reach its core...Grief is a complicated, evolving human process. Grief is a binding experience; its universality binds sufferers together. More is shared than is different. - .......I grieve with you @mtambuzi and Paloma
 
Pole sana wafiwa! Mungu awape nguvu kipindi chote cha msiba! Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu, Apumzike kwa amani. Amen!!!!

Lakini Paloma naomba unifafanulie uhusiano wa Mjeda na Mtambuzi! Sielewi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom