Ndiye mwenyewe.Mike Musa Gordon vijana waliokulia Chang'ombe au siyo huyu?
Wewe hebu acha kukurupuka. Unaeleweshwa na watu wanaomfahamu unalete ujuaji usio hata na maana.Response yako inanipa nini ? Unataka kumdanganya nani hapa dunia hii mtu anaweza kuishi kama peponi ? Shetani mwenyewe alikosana na Mungu ,hivi husikii hata aibu kuongopea watu wazima kweupe hivi ?
Mkuu nipo hapa kwenye msiba Mlalakuwa.Mazishi ni leo SAa tisa
Mzee Gordon pia aliwahi kuwa principal pale magogoni enzi hizoKaribu sana mkuu,binafsi nmempoteza nguli baba yake alikuwa Gordon ashawahi kuwa dc enzi za ukoloni na alimuoa mama wa kisukuma...
Baba yake mike ndy alikuwa principal pale..pia alikuwa dc shinyanga na ngara....Mzee Gordon pia aliwahi kuwa principal pale magogoni enzi hizo
Mkuu nmeona msg yako late tungeonana hapoMkuu nipo hapa kwenye msiba Mlalakuwa.
Ha ha ha ha ha Batista Fivawo!!Hawa ndio "vijana" wa ATC toka miaka ya 1970...hawa ni makomrade wangu hawa;umenikumbusha mbali sana ulipomtaja Batista,Wahandisi wa mwanzo kabisa wa ATC wakati wa Mwalimu.
Mwalimu hakuwa na hiyana;hawa aliwapeleka kusoma wakati ATC ina Boeing za maana.U remind me those old good days mkuu muhomakilo jr
Ndio huyohuyo....Baptista FivawoNdio huyu Batista anayefanya KLM?
Unaweza kugombana Na watu Na kusamehe ....mzee gordon akigombana Na mtu siku zote mshindi NI Yule aliyegombana nae yeye always anajiweka chini tuuKwenye hii dunia unaweza kuishi bila kugombana na mtu ?
Hapa umeongea maneno yenye busara na mantiki mkuu ,sio hao wanaosema hajawahi kugombana na mtu ,ni mwanadamu gani anaishi bila kugombana na mtu ? Yesu mwenyewe alipofika kwenye nyumba ya kuabudia iliyogeuzwa soko alifanya nini ?Unaweza kugombana Na watu Na kusamehe ....mzee gordon akigombana Na mtu siku zote mshindi NI Yule aliyegombana nae yeye always anajiweka chini tuu
Rest in peaceMhandisi wa siku nyingi wa ndege na muajiliwa wa ATCL ndugu Mike aka Musa amefariki dunia. Msiba upo kwake Kawe.
Poleni sana wafiwa.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
View attachment 446571