Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,483
Mungu amlaze pema. Ingawa hatujaonana miaka mingi lakini wakati tunasoma yeye alikuwa kama kaka yetu. Na hata alipokuwa ATC alikuwa ni mchapakazi na mstaarabu sana. sijawahi kumuona wala kusikia akigombana na mtu katika kipindi chote cha uhai wake.Mhandisi wa siku nyingi wa ndege na muajiliwa wa ATCL ndugu Mike aka Musa amefariki dunia. Msiba upo kwake Kawe.
Poleni sana wafiwa.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
View attachment 446571