TANZIA: Mhandisi Mike wa ATCL afariki dunia

TANZIA: Mhandisi Mike wa ATCL afariki dunia

Kapumzike Kamaradi Mike!!Nilizoea kukuita kwa utani "Mzungu Pori"....
Pumzika Rafiki,Mwalimu na Ndugu yangu....Pumzika Mike!!Nipo nyuma yako ninakuja...Nenda Mike Nenda
Ulitumia elimu yako kwa ajili ya Taifa lako,licha ya ujuzi wako na ubobezi,ulibaki kuwa mnyenyakevu na mtiifu hata kwa walio wadogo.

Umewafundisha wengi,wengi wamejua kazi katika mikono yako...Nenda Kamaradi nenda!!See u in the next world if ther is....Nitatakukumbuka Daima
Pole sana mdau huu msiba umekugusa mno....rip Mike....ww jamaa ni rubani?
 
Kama ulikuwa unamfahamu basi ni wazi utakuwa unanielewa nilikuwa ninamaanisha nini kwa kusema hivyo
Ungeeleweka ungeulizwa swali ? Hakuna binadamu anayeishi dunia hii bila kugombana na watu
 
Inaelekea wewe unataka ligi kwa hiyo usitarajie response nyingine toka kwangu
Response yako inanipa nini ? Unataka kumdanganya nani hapa dunia hii mtu anaweza kuishi kama peponi ? Shetani mwenyewe alikosana na Mungu ,hivi husikii hata aibu kuongopea watu wazima kweupe hivi ?
 
Back
Top Bottom