TANZIA: Mhandisi Mike wa ATCL afariki dunia

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,678
Reaction score
37,859
Mhandisi wa siku nyingi wa ndege na muajiliwa wa ATCL ndugu Mike aka Musa amefariki dunia. Msiba upo kwake Kawe.

Poleni sana wafiwa.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
FB_IMG_1481809983262.jpg
 
Kapumzike Kamaradi Mike!!Nilizoea kukuita kwa utani "Mzungu Pori"....
Pumzika Rafiki,Mwalimu na Ndugu yangu....Pumzika Mike!!Nipo nyuma yako ninakuja...Nenda Mike Nenda
Ulitumia elimu yako kwa ajili ya Taifa lako,licha ya ujuzi wako na ubobezi,ulibaki kuwa mnyenyakevu na mtiifu hata kwa walio wadogo.

Umewafundisha wengi,wengi wamejua kazi katika mikono yako...Nenda Kamaradi nenda!!See u in the next world if ther is....Nitatakukumbuka Daima
 
Poleni rip
Mhandisi wa siku nyingi wa ndege na muajiliwa wa ATCL ndugu Mike aka Musa amefariki dunia. Msiba upo kwake Kawe.

Poleni sana wafiwa.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
View attachment 446571
 
Duu namkumbuka huyu mzee kibonge,Mara ya mwisho alikuwa pale Presicion air kipindi kile wana boeing,poleni wafiwa...R.I.P Aviators.
 
Back
Top Bottom