TANZIA: Mhandisi Mike wa ATCL afariki dunia

TANZIA: Mhandisi Mike wa ATCL afariki dunia

Poor Souls, Mungu awaweke mahali pema peponi.
Mi kijana wa siku nyingi, nawakumbuka wote hao toka 60s ingawaje tumepoteana.
Msiba si ni opposite na Trpple Seven, Kawe Mlalakuwa?
Triple seven Mbalii opp NA makao yajeshi AZURA

KUNASEHEMU WANAMATANGAZO YA GYM NK
 
MmHg Nko msibani sahv....mike by mjomba wangu...hiyo picha uliyoweka ni siku ya harusi yangu hyo mama nweupe ni mama yangu mdogo.....sababu ya kujiita Mrangi ni lea sababu nmexhanganya ndg rangi...
Nko mnalakuwa sahv mpwaaa

Ova
Pole sana mkuu Mrangi. RIP mhandisi ndege mahiri Mike Musa.
 
Tanzania imepoteza nguli kwenye utaalam wa ndege especialy boeing......
 
Attachments

  • IMG-20161216-WA0003.jpg
    IMG-20161216-WA0003.jpg
    36.5 KB · Views: 45
Tanzania imepoteza nguli kwenye utaalam wa ndege especialy boeing......
Nakumbuka Boeing Ikikwama Arusha ama mwanza anasubiriwa tokahme... Nbegilake kamanda
 
Boieng alikuwa anazijuaa nje ndani,kabla ya kufariki alipigiwA SIM na at cl khusu kurudi atc na kuwasaidia khsu boeing
Nakumbuka Boeing Ikikwama Arusha ama mwanza anasubiriwa tokahme... Nbegilake kamanda
 
Back
Top Bottom